Tanzania tumebarikiwa wanyama wa kutosha mtu wangu na kama unapata muda sio mbaya kwenda na familia yako kuenjoy kwenye mbuga zetu, kwa kuwa kazi yangu nikukusogezea kila ninachokipata acha uipate na hii ya wanyama wanaopatikana kwenye moja ya Hifadhi za hapa nyumbani.
Kama umezoea kuona vivutio vikiwa inchi kavu sasa hii ipo ndani ya maji ya ziwa Victoria ni Hifadhi ya Taifa ya kisiwa cha Rubondo ipo mpakani mwa Geita na Muleba, ripota wa millardayo.com amezipata picha za wanyama na ndege kwenye Hifadhi.

Barabara ya Mganza kuelekea Hifadhi ya Rubondo

Kiboko naye yupo kwenye hifadhi

Nzohe naambiwa anapatikana kwenye hiyo Hifadhi tu nchi zima

Kama ulikuwa hufahamu huyu anaitwa Pongo

Tembo wanaoishi kwenye Hifadhi iliyopo majini

Mamba na pozi lao

0 maoni:
Post a Comment