Colombia yahalalisha ndoa za jinsia moja 10:03:00 AM kimataifa No comments Mahakama ya juu zaidi nchini Colombia imehalalisha rasmi ndoa za wapenzi wa jinsia moja. Hatua hiyo inaifanya Colombia kuwa taifa la nne kuhalalisha ndoa hizo katika mataifa ya Kilatino, Amerika Kusini. Share: Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
0 maoni:
Post a Comment