Tuesday, May 24, 2016

Kitwanga atetewa na wananchi, Madiwani wa Jimboni kwake, waeleza madai yao


Kwa mujibu wa Gazeti la Majira limesema Madiwani na wananchi hao wamedai video hiyo imechezwa kitaalamu na watu wa Teknolojia ya Mawasiliano ‘IT’ ili kufanikisha lengo la kuonesha kuwa mbunge wao alikuwa amelewa bungeni.
Hivyo wameliomba bunge lifanye uchunguzi na kubaini wale wote waliosambaza video inayoonesha Kitwanga akiwa anaongea akionekana amelewa wakati kiuhalisia hakulewa, bali alijibu maswali yote vizuri.
Share:

0 maoni:

Post a Comment

Copyright © A star.com All Right Reserve

CONTACT:+255713365518

FACEBOOK