Wednesday, May 25, 2016

May 25 2016 Bungeni



May 25 2016 Bunge Limeendelea kuchukua nafasi uku likiendelea kujadili bajeti ya Makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mwaka wa fedha 2016/2017 iliyowasilishwa jana na Waziri wake Jumanne Maghembe.
Kabla ya majadiliano ya leo kilianza na kipindi cha maswali na majibu kutoka kwa Wabunge kwenda kwa Serikali ambapo Mawaziri ndio walisimama kuyatolea majibu, Hizi dakika nane kwenye Video nimekusogezea kujionea ilivyokuwa…
Share:

0 maoni:

Post a Comment

Copyright © A star.com All Right Reserve

CONTACT:+255713365518

FACEBOOK