
Neymar kaachwa katika kikosi kitachoshiriki michuano hiyo maalum kwa ajili ya kuadhimisha miaka 100 ya Copa America kutokana na FC Barcelona kumuomba Dunga amuache Neymar, kwani hawezi kucheza michuano miwili ndani ya kipindi kimoja cha majira ya joto kwa sababu atapata uchovu ila atajumuishwa katika kikosi kitakachoshiriki michuano ya Olympic.
List ya wachezaji wa Brazil walioitwa kwa ajili ya michuano maalum ya Copa America 2016
Magoikipa: Alisson (Internacional), Diego Alves (Valencia) and Ederson (Benfica), Mabeki: Daniel Alves (Barcelona), Fabinho (Monaco), Filipe Luis (Atletico Madrid), Douglas Santos (Atletico Mineiro), Miranda (Inter Milan), Gil (Shandong Luneng), Marquinhos (Paris Saint-Germain), Rodrigo Caio (Sao Paulo)
Viungo: Luiz Gustavo (Wolfsburg), Elias (Corinthians), Casemiro (Real Madrid), Rafinha (Barcelona), Renato Augusto (Beijing Guoan), Philippe Coutinho (Liverpool), Lucas Lima (Santos) na Willian (Chelsea). Washambuliaji: Douglas Costa (Bayern Munich), Hulk (Zenit), Ricardo Oliveira (Santos) na Gabriel (Santos).
0 maoni:
Post a Comment