Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi ilitangaza kuwafuza jumla ya wanafunzi 7802 kutoka Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) kufuatia mgomo wa Walimu unaoendelea hivi sasa. Waziri Joyce Ndalichako amesimama Bungeni leo kuongelea suala hilo.
Wanafunzi hao waliagizwa kuondoka katika chuo hicho kufikia saa kumi na mbili jioni siku ya Jumapili.

Ilani hiyo imesema kuwa kulikuwa na makosa katika mafunzo ya wanafunzi wanaosomea shahada ya elimu ikiwemo sayansi,hesabati,teknolojia hivyobasi serikali imewataka wanfaunzi kuondoka chuoni humo hadi ilani yengine itakapotolewa.
Maelezo kuhusu mgogoro huo kati ya ya wahadhiri wa chuo hicho na serikali haujulikani.
0 maoni:
Post a Comment