Monday, May 2, 2016

WAFANYA KAZI WA KAMPUNI YA PEPSI DAR ES SALAAM WAGOMA



Mgomo  watokea katika kampuni ya pepsi eneo la vingunguti pugu road.

Wafanya kazi wa kampuni  iyo wagoma  kwa kutaka kulipwa sitahiki zao. polisi wajitokeza kutawanya umati wa wafanya kazi hao.Sitahiki zao ni pamoja na malipo yao ya kila siku  ambayo ilipaswa walipwe.


Share:

0 maoni:

Post a Comment

Copyright © A star.com All Right Reserve

CONTACT:+255713365518

FACEBOOK