Monday, June 20, 2016

Wabunge wa UKAWA wametoka bungeni kwa style mpya ya kuziba midomo




June 20.2016 Bungeni kwa baadhi ya wabunge wa upinzani kuamua kutoka nje ya bunge kwa style ya kuziba midomo. Hii ni kuonyesha mwendelezo wa kutokuwa na imani na naibu spika Dk. Tulia Ackson.

Nje ya bunge mbunge wa Vunjo James Mbatia amesema.Ni kwamba serikali inaipasua nchi, hatukushiriki bajeti yao na tutawashitaki kwa watanzania , na kuhusu mikutano tutaifanya bila wasiwasi.
Share:

0 maoni:

Post a Comment

Copyright © A star.com All Right Reserve

CONTACT:+255713365518

FACEBOOK