Tuesday, December 6, 2016

Mzee aweka tangazo kumtafuta mke

Mzee wa miaka 75 ameweka bango lenye sifa za mke anayemtaka, katikati ya mtaa anaoishi.
Athuman Bakari Mchambua mkazi wa Dar es Salaam amechukua hatua hiyo baada ya kifo cha mke wake.

Amesema hawezi kutumia njia nyingine yoyote isipokua udahili ama mahojiano kumpata mke.

Chanzo BBC.
Share:

0 maoni:

Post a Comment

Copyright © A star.com All Right Reserve

CONTACT:+255713365518

FACEBOOK