Wednesday, April 12, 2017

Uzinduzi Ujenzi wa Reli ya Kisasa DSM-Morogoro


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo April 12, 2017 anaweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa Reli ya kisasa (Standard Gauge) kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro.

Unaweza kubonyeza play kutazama moja kwa moja hapa chini…


Share:

0 maoni:

Post a Comment

Copyright © A star.com All Right Reserve

CONTACT:+255713365518

FACEBOOK