Wednesday, April 5, 2017

Wabunge Walioshinda Nafasi Ubunge la Afrika Mashariki.

April 5, 2017 Bunge limepiga kura za kuwapitisha wawakilishi wa bunge la Afrika Mashariki ambapo wagombea saba pekee ndio waliopitishwa kwa kupigiwa kura za ndio huku sita kati yao wakitokea Chama cha mapinduzi (CCM) na mmoja Chama cha wananchi CUF  huku wagombea wawili wa CHADEMA wakikosa sifa baada ya kupigiwa kura nyingi za HAPANA.
1. Fancy Nkuhi
2. Happiness Legiko 
3. Maryam Ussi Yahya 
4. Dkt Abdullah Makame 
5. Dkt Ngwaru Maghembe 
6. Alhaj Adam Kimbisa
7.Habib Mnyaa (CUF).
Share:

0 maoni:

Post a Comment

Copyright © A star.com All Right Reserve

CONTACT:+255713365518

FACEBOOK