Thursday, May 12, 2016

Msiba: Tasnia ya Filamu Tanzania imepata msiba, R.I.P Mchekeshaji Kinyambe




May 12 2016 ripoti zilianza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kwa baadhi ya mastaa wa filamu na Muziki nchini, kuhusiana nataarifa ya kufariki kwa mmoja kati ya wachekeshaji maarufu nchini Tanzania, Mohammed Abdallah (Kinyambe) kutoka kwenye maigizo ya Vituko Show

Innalilah wainna ilaihi rajiun mbele yake nyuma yetu kazi yake mola haina makosa mola akueke panapo stahili ndugu yetu Amin #kinyambe wasanii wenzangu rafiki zangu dunia na #dini dunia mapito #DUNIAMALIYAMUNGU BINADAMU #PUMZITU (TUPENDANDE TUHESHIMIANE) MUNGU NDIO KILA KITU ....
Share:

0 maoni:

Post a Comment

Copyright © A star.com All Right Reserve

CONTACT:+255713365518

FACEBOOK