Thursday, August 18, 2016

Rais Magufuli atengua na kufanya uteuzi mwingine leo August 18 2016


August 18 2016 imetolewa taarifa ya uteuzi wa Rais John Magufuli ambapo amemteua Mrisho Gambo kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha kuanzia leo August 18 2016 baada ya kutengua uteuzi Felix Ntibenda katika mwendelezo wa kuimarisha safu ya utawala wake .

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mteule, Mrisho Gambo

Uteuzi wa Gambo unakuja takribani miezi miwili baada ya kuteuliwa kuwa mkuu waa wilaya ya Arusha mwisho mwa June mwaka huu. Ntibenda atahamishiwa ofisi ya Waziri Mkuu kwa ajili ya kupangiwa majukumu mengine na Gambo ataapishwa kesho August 19 2016 Ikulu jijini Dar es salaam.


Aliyekuwa Mkuu wa mkoa Arusha, Felix Ntibenda
Share:

0 maoni:

Post a Comment

Copyright © A star.com All Right Reserve

CONTACT:+255713365518

FACEBOOK