Sunday, December 25, 2016

Rais Magufuli kasali Singida ibada ya Christmas.. kuna picha 5 hapa


Ni kutoka kwenye Kanisa kuu la moyo mtakatifu wa Yesu kwenye mkoa wa Singida ambapo Rais Magufuli na mke wake Mama Janeth Magufuli wamesali ibada ya Christmas ambapo pia Baba Askofu wa jimbo la Singida Edward Mapunda alimuombea Rais.







Share:

0 maoni:

Post a Comment

Copyright © A star.com All Right Reserve

CONTACT:+255713365518

FACEBOOK